MAKAMU WA RAIS AWAPA MOYO WACHEZAJI WA TAIFA STARS KUELEKEA MCHEZO WA MARUDIANO
Posted by khamisimussa77@gmail.com at 5:31 AM
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan,
akishangilia sambamba na baadhi ya Viongozi bao la kwanza la Taifa Stars
lililofungwa na Elias Maguli, katika kipindi cha kwanza kwenye mchezo
wa Kuwania kufuzu hatua ya makundi Kombe la dunia dhidi ya Algeria
uliochezwa jana kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam. Katika
mchezo huo timu hizo zilitoka sare ya 2-2, mabao ya Stars yalifungwa na
Elias Maguli na Mbwana Samatta. Picha na OMR
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu
Hassan, akizungumza jambo na Rais wa Shirikisho la Soka Tanzania, (TFF)
Jamal Malinzi, wakati walipokuwa Uwanja wa Taifa katika mchezo wa
kuwania kufuzu hatua ya makundi Kombe la dunia kati ya Taifa Stars na
Algeria uliochezwa jana. Katika mchezo huo timu hizo zilitoka sare ya
2-2, mabao ya Stars yalifungwa na Elias Maguli na Mbwana Samatta. Picha
na OMR
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu
Hassan, akisalimiana na kumpongeza Nahodha wa Timu ya Taifa Stars, Nadir
Haroub 'Canavaro', baada ya mchezo wa kuwania kufuzu hatua ya makundi
Kombe la dunia kati ya Taifa Stars na Algeria uliochezwa jana. Katika
mchezo huo timu hizo zilitoka sare ya 2-2, mabao ya Stars yalifungwa na
Elias Maguli na Mbwana Samatta. Picha na OMR
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu
Hassan, akisalimiana na kumpongeza mchezaji wa Timu ya Taifa Stars,
Thomas Ulimwengu, baada ya mchezo wa kuwania kufuzu hatua ya makundi
Kombe la dunia kati ya Taifa Stars na Algeria uliochezwa jana. Katika
mchezo huo timu hizo zilitoka sare ya 2-2, mabao ya Stars yalifungwa na
Elias Maguli na Mbwana Samatta. Kulia ni Mbwana Samatta, akibugujikwa
na machozi. Picha na OMR
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan,
akimfariji mchezaji wa Timu ya Taifa Stars, Mbwana Samatta, baada ya
mchezo wa kuwania kufuzu hatua ya makundi Kombe la dunia kati ya Taifa
Stars na Algeria uliochezwa jana. Baada ya mchezo huo Samatta,
alionekana kubugujikwa na machozi muda wote. Katika mchezo huo timu hizo
zilitoka sare ya 2-2, mabao ya Stars yalifungwa na Elias Maguli na
Mbwana Samatta. Picha na OMR
Subscribe to:
Post Comments (Atom)

0 comments: