MAREKANI YASIKITISHWA NA TAMKO LA ZEC KUFUTA UCHAGUZI ZANZIBAR

Marekani yasikitishwa na tamko la ZEC kufuta uchaguzi Z’bar
Serikali ya Marekani imesema imestushwa na tamko lililotolewa na Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi ya Zanzibar ambapo ametamka kusudio lake la kufuta matokeo ya uchaguzi wa urais wa Zanzibar.

0 comments: