" JAMBO LA ZANZIBAR NI LETU BARA, NA KINYUME CHAKE.. "
Posted by khamisimussa77@gmail.com at 2:17 PM
Ndugu zangu,
Ndivyo
ninavyoamini. itabaki kuwa hivyo, ni ukweli wa kihistoria. Ndio tafsiri
ya Julius Nyerere kuomba kama ingewezekana kuvisukuma visiwa viende
mbali. Haiwezekani.
Pichani
ni miaka ya nyuma nikiwa na Profesa Shivji kwenye moja ya migahawa ya
Mji Mkongwe. Profesa na mimi tuliongea mengi sana kuhusu siasa za
visiwani.
Maggid." Jambo La Zanzibar Ni Letu Bara, Na Kinyume Chake.."
Ndugu zangu,
Ndivyo
ninavyoamini. itabaki kuwa hivyo, ni ukweli wa kihistoria. Ndio tafsiri
ya Julius Nyerere kuomba kama ingewezekana kuvisukuma visiwa viende
mbali. Haiwezekani.
Pichani
ni miaka ya nyuma nikiwa na Profesa Shivji kwenye moja ya migahawa ya
Mji Mkongwe. Profesa na mimi tuliongea mengi sana kuhusu siasa za
visiwani.
Maggid
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments: