RAIS KIKWETE AFUNGUA MKUTANO WA VIONGOZI WA KAMATI YA AMANI MKOA WA DAR ES SALAAM
Posted by khamisimussa77@gmail.com at 1:27 PM
Rais Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete
akifungua mkutano wa Viongozi wa Kamati ya Amani Mkoa wa Dar es Salaam
uliofanyika katika ukumbi wa mikutano wa kimataifa wa Mwalimu Julius
Nyerere (JNICC) jijini Dar es Salaam leo.
Baadhi ya viongozi wa madhehebu ya
dini mbalimbali wakimsikiliza kwa makini Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete
alipokuwa akiwahutubia wakati wa ufunguzi wa Mkutano wa Viongozi wa
Kamati ya Amani Mkoa wa Dar es Salaam leo. (Picha zote na Freddy Maro)
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments: