![]() |
Mmoja wa wahalifu wa wizi wa simu za mikononi akiwa katika harakati zake za kutimiza adhma yake katika mtaa wa Uhuru jijini Dar leo. |
![]() |
![]() |
![]() |
![]() |
![]() |
Hii ni moja ya kipande cha sabuni kilichotumika kufungaswa na kufanikiwa kumwibia mpita njia shilingi 100,000 alipokuwa katika harakati za kutafuta simu kwenye mtaa wa Uhuru Dar es Salaam. |

Mfano wa mojawapo ya vipande vya sabuni vitumiwavyo na wahalifu wa wizi wa simu za mikononi kufanyia utapeli. Kwa hisani ya Robert Okanda |
0 comments: