WAUMINI WA DINI YA KIISLAM WA WAKITEKELEZA NGUZO YA TANO EIDUL-ADH-HAA DAR ES SALAM LEO
Posted by khamisimussa77@gmail.com at 2:07 PM
Waumini wa Dini ya Kiislamu wakiungana na waislamu wengine ulimwenguni kote wakiswali katika Msikiti wa kichangani wakitekeleza Nguzo Tano za Dini hiyo,Dar es Salaam leo
Waumini wa Dini ya Kiislam wakiwa na watoto waowakati wa Swala ya Eidul-Adh-Haa
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments: