MATUKIO KATIKA PICHA NA UJIJI RAHAA LEO.

 Mnara wa Matangazo ukiwa umeangukia Choo cha kulipia katika Viwanja vya Mnazi Mmoja ,kama ilivyonaswa na Kamera ya Ujiji rahaa ,Dar es Salaam leo, ambapo mnara huo ulianguka toka juzi asubuhi na Upepo,  pamoja na wahusika kupata taarifa ,hakuna juhudi yoyote inayoonyesha kuondolewa na baadhi ya wateja wanao kwenda kupata huduma wengine wasita .
 Gari ambalo namba zake hazikuweza kupatikana mara moja kutokana na kusheheni Bodaboda hadi mbele kama ilivyonaswa na kamera ya UJIJI RAHAA, leo katika barabara ya morogoro na Msimbazi

 Gari la Tank la Mafuta lilopo kulia, lenye namba za Usajili T 282 BHX, likiwa limeharibika katika kituo cha Kimara Mwisho na kusababisha foleni kama ilivyo naswa na Kamera yetu Dar es Salaam  sasahivi asubuhi ya leo.

0 comments: