UKWELI: MKE WA H. BABA, FLORA MVUNGI AFUNGUKA MAUHUSIANO YAKE NA DUDE!


Tunamalizia makala haya tuliyoyaanza wiki iliyopita. Flora amefunguka mengi yahusuyo safari yake ya kisanaa!UHUSIANO NA DUDE
Mwandishi: Kuna tetesi kwamba ulikuwa na uhusiano na Dude na alitaka akuoe?
Flora: Dude namheshimu sana na mara nyingi alikuwa ananipenda kwa sababu nilikuwa mtiifu sana kwake naona ndiyo sababu ya watu kuzungumza maneno hayo. Sikuwahi kufikiria kuolewa na Dude au kuwa na uhusiano naye

0 comments: