Posted by
khamisimussa77@gmail.com
at
11:30 PM
Baada ya wale polisi traffic waliopigwa picha wakiwa katika pozi ya mahaba wakati wakiwa kazini kusambaa sana mtandaoni , picha nyingi ya vituko la Askari wa usalama barabarani imekuwa ikisambazwa mtandaoni
kuonyesha namna gani polisi wetu wanavyokiuka maadili ya kazi na kufanya vituko.
Tazama picha hii ya polisi huyu akiwa ameshika chupa ya pombe wakati bado akiwa kazini .
Siku zote tumekuwa tukilalamika kuhusu ajari za barabarani, lakini
kumbe polisi wenyewe ni chanzo cha matatizo hayo, Mfano , huyu polisi
baada ya kulewa ataweza kweli kuchunguza gari na kujua kama lina
matatizo au la ? ataweza kumkamata dereva ambaye nae anaendesha gari
huku akiwa amelewa?
Ni vema
serikali na mamlaka zingine zinazohusika kuhakikisha zinaajiri polisi
ambao wataafuta viapo vya kazi zao, na wale wanaokwenda kinyume na
sheria za kazi zao wachukuliwe hatua kali mara moja.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)

0 comments: