MAMIA WAJITOKEZA KUUAGA MWILI WA CHRISTOPHER KISAKA ,KIJIJINI LUSANGA MKOA WA TANGA JANA
Posted by khamisimussa77@gmail.com at 7:24 AM
Ofisa Mtendaji Mkuu wa Kampuni ya JL Communications, Juma Pinto, akiweka shada la maua katika kaburi la Christopher Kisaka, ambaye ni baba mzazi wa mmoja wa wakurugenzi wa kampuni hiyo jana. (PICHA ZOTE NA KHAMISI MUSSA) Mmiliki wa Blog ya UJIJIRAHAA.
Waombolezaji wakimsikiliza Padri wa Kanisa la Anglikana Lusanga Dayosisi ya Tanga ,Aidan Kamote wakati wa Ibada ya misa ya kumuombea kabla ya kwenda mazishini kijijini hapo.
Mhariri Mtendaji wa Kampuni ya JL Communications, Anicetus Mwesa, akikabidhi Mchango wa Laki Tano kwa mwanafamilia, Charles Rajabu, ikiwa ni Rambirambi kwania ya kampuni hiyo jana
Waombolezaji wakiuweka kaburini mwili wa Christopher Kisaka jana katika makaburi ya Lusanga Wilaya ya Muheza mkoani Tanga .
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments: