AJALI YA BASI LA ABIRIA NA KULIGONGA TRECTA ENEO LA MKATA MKOA WA PWANI
Posted by khamisimussa77@gmail.com at 6:54 AM
Wananchi wakiangalia ajali ya basi la Sabco Express lenye namba za usajili T 470 ALH , likitoka Dar es Salaa kwenda Arusha baada ya kugongana na trecta maeneo ya Mkata Mkoani Pwani jana .Haikufanyika mara moja kama kunamtu aliyepoteza maisha katika ajali hiyo. (PICHA ZOTE NA KHAMISI MUSSA) Mmiliki wa Blog ya UJIJIRAHAA.
Wananchi wakiangalia ajali ya basi la Sabco Express lenye
namba za usajili T 470 ALH , likitoka Dar es Salaa kwenda Arusha baada
ya kugongana na trecta maeneo ya Mkata Mkoani Pwani jana .Haikufanyika
mara moja kama kunamtu aliyepoteza maisha katika ajali hiyo, ambapo abiria ilibidi watoke kupitia mlango wa Dreva kama ilvyo naswa na kamera ya Blog ya UJIJI RAHAA.huku wengine wakilia.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments: