Posted by
khamisimussa77@gmail.com
at
11:43 PM
Gari aina ya Nissan Navara lenye namba za usajili T 900 CEH likiwa
eneo la Bamaga, Mwenge jijini Dar baada ya kugongana na daladala aina ya
Coaster lenye namba za usajili T 869 AZU linalofanya safari zake kati
ya Mwenge - Kariakoo jioni hii.
Daladala aina ya Coaster lenye namba za usajili T 869 AZU likiwa eneo la ajali baada ya kugongana na Nissan Navara.
Navara ikiwa eneo hilo la ajali
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments: