YALIYOJIRI MAKAO MAKUU POLISI WAKATI MBOWE ALIPOFIKA KIHOJIWA .

Picha zote  na Khamisi Mussa.

 Askari wakipata maelekezo 
 Askari akitowa maelekezo kwa Wanahabari na kwa wafuasi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA.
 Askari wakiwa wamejipanga lango Kuu la Makao Makuu ya Jeshi la  Polisi
 Mwanachama akipata maelekezo toka kwa Askari

 Viongozi wa chama cha Demokrasia na Maendeleo,Akiwemo prof , Abdallah Safari kushoto wakatikati ,Singo  Kigaila na wapili kushoto  ni wakili  Mabere Marando. na wakwanza kushoto  ni  mjumbe Bodi ya Wadhamini Muslim Hasanal



Mwenyekiti wa chama cha Demoksasia na Maendeleo Chadema ,   Mbowe, alipo wasili  Makao Makuu ya Polisi akiwa na wafuwasi wachama hicho.

 Waandishi walipokuwa wakiondolewa katika eneo la tukio na wakiamriwa wakae mita 200 nje ya Uzio.
 Kamanda










 Mshikemshike ya vuta nikuvute ikiwa imeanza
  Mshikemshike ya vuta nikuvute ikiwa imeanza.
  Mshikemshike ya vuta nikuvute ikiwa imeanza


  Mshikemshike ya vuta nikuvute ikiwa imeanza

 Wakitumia mbw kwa kuwatawanya wafuasi pamoja na waandishi
 Mwandishi wa habari  Yusufu Badi,  kushoto akitulizwa na Mtangazaji waluninga  , Tom Chilala


















0 comments: