VIJANA WAHAMASISHWA KUTEMBELEA VITUO VYA AFYA KUJUA AFYA ZAO.
Msanii
wa Muziki wa Taarabu na mpiga Gitaa maarufu nchini Bw. Thabit Abdul
akizungumza na vijana wa jijini la Dar es Salaam wakati wa hafla ya
Jamvi la Vijana ambalo uendeshwa maramoja kila mwezi na Kituo cha Vijana
UMATI kilichopo wilayani Temeke alipokuwa mgeni rasmi katika jamvi hilo
jana jijini Dar es Salaam. Jamvi hilo lilikuwa na ujumbe mahususi kwa
vijana uliolenga kuwa hamasisha kufika katika vituo vya afya kwa ajili
ya kuchunguza afya zao na kupata matibabu
Mratibu
wa Kituo cha Vijana cha UMATI kilichopo Temeke jijini Dar es Salaam Bi.
Upendo Daud akifafanua jambo kwa vijana waliohudhuria Jamvi la Vijana
katika kituo hicho jana jijini Dar es Salaam. Ambapo jamvi hilo lilikuwa
na ujumbe mahususi kwa vijana uliolenga kuwahamasisha kufika katika
vituo vya afya kwa ajili ya kuchunguza afya zao na kupata matibabu.
Msanii
wa Muziki wa Taarabu na mpiga Gitaa maarufu nchini Bw. Thabit Abdul
akipima kwa hiari Virusi vya Ukimwi jana jijini Dar es Salaam ikiwa ni
kuhamasisha vijana kujitokeza kujua afya za na kupata matibabutukio hilo
limefanyika jana alipokuwa mgeni rasmi katika ya Jamvi la Vijana ambalo
uendeshwa mara moja kila mwezi na Kituo cha Vijana cha UMATI kilichopo
wilayani Temeke. Jamvi hilo lilikuwa na ujumbe mahususi kwa vijana
uliolenga kuwa hamasisha kufika katika vituo vya afya kwa ajili ya
kuchunguza afya zao na kupata matibabu.Kushoto ni Mnasihi wa Kituo hicho
Bibi. Neema Orgeness.
Msanii
wa Muziki wa Taarabu na mpiga Gitaa maarufu nchini Bw. Thabit Abdul
akifurahia majibu yake baada ya kubainika kuwa hana VVU baada ya kupima
kwa hiari alipo kuwa mgeni rasmi katika Jamvi la Vijana jana jijini Dar
es Salaam. Jamvi hilo lilikuwa na ujumbe mahususi kwa vijana uliolenga
kuwa hamasisha kufika katika vituo vya afya kwa ajili ya kuchunguza afya
zao na kupata matibabu.Kushoto ni Mnasihi wa Kituo hicho Bibi. Neema
Orgeness.
Msanii
wa Muziki wa Taarabu na mpiga Gitaa maarufu nchini Bw. Thabit Abdul
akipata maelekezo ya matumizi sahihi ya Kondomu kutoka kwa mueleisha
Rika wa Kituo cha Vijana cha UMATI kilichopo Temeke jijini Dar es Salaam
Bi. Mwanahamis Issa(kushoto) alipo kuwa mgeni rasmi katika Jamvi la
Vijana ambalo ufanyika kila mwisho wa mwezi.Mwezi huu jamvi hilo
lilikuwa na ujumbe mahususi uliolenga kuwa hamasisha vijana kufika
katika vituo vya afya kwa ajili ya kuchunguza afya zao na kupata
matibabu.Kushoto ni Mnasihi wa Kituo hicho Bibi. Neema Orgeness.
Kikundi cha Sanaa cha Malezi kikitoa burudani kwa vijana wakati wa Jamvi la Vijana jana jijini Dar es Salaam.![UM4a[1]](http://www.fullshangweblog.com/wp-content/uploads/2014/09/UM4a1.jpg)
Baadhi
ya washiriki wa Jamvi la Vijana wakifurahi burudani kutoka kwa wasanii
mbalimbali waliotumbuiza na kutoa burudani katika Jamvi la Vijana
lilofanyika jana jijini Da es Salaam. Jamvi la Vijana uendeshwa mara
moja kila mwezi na Kituo cha Vijana cha UMATI kilichopo wilayani Temeke
kwa mwezi huu Jamvi hilo lilikuwa na ujumbe mahususi kwa uliolenga
kuwahamasisha vijana kufika katika vituo vya afya kwa ajili ya
kuchunguza afya zao na kupata matibabu
0 comments: