Posted by
khamisimussa77@gmail.com
at
7:26 AM
Wawakilishi
wa NHC mkoa wa Mara wakiwa kwenye banda la maonyesho kwenye viwanja
wilayani Bunda. (Picha zote za Kitengo cha Mawasiliano na Huduma kwa
Jamii cha Shirika la Nyumba la Taifa)
Meneja wa Mkoa wa Mara Frank Mambo akimpatia maelezo ya mradi kiongozi wa mbio za mwenge Bi. Rachel Kassanda.
Kiongozi
wa Mbio za mwenge akipokea mashine hizo kabla ya kuzikabidhi kwa
wakilishi wa vikundi vya vijana. Kushoto ni Mkuu wa wilaya ya Bunda,
Joshua Mirumbe.
Wawakilishi wa vikundi vya vijana wakipokea mashine hizo toka kwa kiongozi wa mbio za mwenge.

Picha
ya pamoja na wakilishi wa vikundi vya vijana. Katikati Meneja Mkoa,
kulia nyuma ni Bw. Deogratius Bituro afisa matengenezo, kushoto ni
Khalid Sobo-Driver, Bertha Maganira-PS na mwisho ni Marwa Mwita-Estate
Officer incharge.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments: