PICHA MSHIKEMSHIKE POLISI NA WAFUASI WA CHADEMA DAR

 Name:  c2.jpg
Views: 0
Size:  44.7 KB



Jeshi la polisi jijini Dar es Salaam limetumia mbwa na virungu kuwatanyama mamia na wafuasi wa Chama Cha Demokrasia na Manendeleo Chadema ambao walifurika Makao Makuu ya Jeshi hilo kwa lengo la kumsindikiza Mwenyekiti wa chama hicho, Freeman Mbowe, ambaye aliitwa kwa mahojiano.na

wakiwemo waandishi wa Habari kpigwa nakutishiwa mbwa.

0 comments: