Mkurugenzi wa Idara ya Asia na Australasia Wizara ya Mambo ya Nje akutana na Balozi wa China nchini
Mkurugenzi
Idara ya Asia na Australasia, Balozi Mbelwa Kairuki (kulia) akutana na
Balozi wa China nchini Mhe. Lu Youqing, kuhusu maandalizi ya
maadhimisho ya miaka 50 ya ushirikiano kati ya Tanzania na China
yatakayofanyika nchini China mwezi Oktoba 2014.
|
Maafisa kutoka Hazina na Mambo ya Nje wakifuatilia mazungumzo hayo kwa makini.
|
Maafisa walioambatana na Balozi wa China wakinukuu mazungumzo kati ya Balozi Mbelwa na Balozi Lu Youqing (hawapo pichani).
|
Kikao kikiendelea. Picha na Reginald Phili
|
0 comments: