ASKARI 2 WA JESHI LA POLISI MKOANI RUVUMA WAMEJERUHIWA .
Posted by khamisimussa77@gmail.com at 3:38 AM
Askari 2 wa Jeshi la Polisi Mkoani Ruvuma , wamejeruhiwa vibaya na kulazwa katika Hospitali ya Mkoa huo, baada ya kurushiwa kitu kinachodhaniwa kuwa ni bomu wakiwa katika doria .
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments: