MAZOEZI YA GWARIDE LA MAADHIMISHO YA SIKU YA MASHUJA YAENDELEA VIWANJA VYA MNAZI MMOJA
Posted by khamisimussa77@gmail.com at 6:54 AM
Askari wa Majeshi ya Ulinzi na Usalama wakiwa katika mazoezi ya gwaride viwanja vya Mnazi Mmoja Dar es Salaam leo, kwa ajili ya Maadhimisho ya Siku ya Mashujaa yatakayofanyika Julai 25 mwaka huu katika viwanja hivyo. (PICHA NA KHAMISI MUSSA) Mmiliki wa www.ujijirahaa.blogspot.com. fungua ukurasa wa UJIJI RAHAA.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments: