GARI AINA YA RAV4 LAPINDUKA USIKU WAKUAMKIA LEO DAR ES SALAAM SAA 8 USIKU.

 Wanachi waishio kigamboni eneo la Mikoroshoni wakiliangalia gari aina ya Rav4, likiwa limepinduka baada ya kupasuka Tairi la mbele la upande wa Dreva
Wanachi waishio kigamboni eneo la Mikoroshoni wakiliangalia gari aina ya Rav4, likiwa limepinduka baada ya kupasuka Tairi la mbele likiwa na Dereva na abiria mmoja,hakuna madhara ya kifo,(Chanzo cha habari kilieleza) (PICHA NA KHAMISI MUSSA) Mmiliki wa www.ujijirahaa.blogspot.com
FUNGUA(UJIJI RAHAA)

0 comments: