WATU 3 WAMEFARIKI LONDE WILAYANI MISUNGWI MKOANI MWANZA

Watu 3 wamefariki papo hapo na wengine 4 wamajeruhiwa vibaya baada ya gari lao aina ya prado kupasuka tairi la nyuma na kupinduka katika kijiji cha Londe Wilayani Misungwi mkoani Mwanza.

0 comments: