Mmoja wa shuhuda akizungumzia kuhusu tukio hilo ambapo watoto wawili walifariki na mmoja kujeruhiwa na mti huo
Kiongozi akizungumzia swala hilo na kusisitiza wazazi wawachunge watoto wao wasiwe wanacheza maeneo hayo ya miti
Baadhi ya Mashuhuda wakishuhudia tukio zima la watoto hao waliofariki kwa kuangukiwa na mti
Hapa ilikuwa ni wakati wa kuwaokoa watoto hao
Picha zote na Tanga yetu Blog
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments: