MAADHIMISHO YA KAMPENI YA HOMA YA INI,YALIOFANYIKA DAR ES SALAAM LEO

 Mkurugenzi wa Kampuni ya Global Publishers & General Enterprises, Eric Shigongo (kushoto) akizungumza na wataalam na waandishi wa habari Dar es Salaam leo, kuhusu maadhimisho ya kampeni ya  mapambano dhidi ya homa ya ini ,ambayo kitaifa yatafanyika  machi saba mwaka huu Hospitali ya Amana. Kulia ni Mganga Mkuu Hospitali ya Amana, Meshack Shimwela na( kushoto) ni Mwalim, mtaalam wa vimelea na magonjwa na kukinga mwili wa Chuo kikuu cha Afya Muhimbili, Mtebe Majigo.  (PICHA NA KHAMISI MUSSA)
  Mwalim, mtaalam wa vimelea na magonjwa na kukinga mwili wa Chuo kikuu cha Afya Muhimbili, Mtebe Majigo, akifafanua jambo kuhusu ugonjwa wa homa ya ini unavyo ambukizwa kazidi ya ugonjwa wa maambukizi ya ukimwi.
 Afisa viwango na ubora ,kanda ya mashariki,Ndeonasia Towo, akitoa maelezoa kuhusu maambukizi ya homa ya ini ,ambapo maambukizi hayo huambukizwa kwa njia mbalimbali na Damu ambayo inayokusanwa ,6.7 ni yawatu wenye homa ya ini na  humwagwa  0.6 ya watu wenye  maambukizi ya ukimwi 
 Msaidizi wa Mkurugenzi mtendajiwa (SD) Sawe Phillip (kulia)akifafanua jambo katika hama ya ini leo na kampuni hiyo imetoa Hepatitis B na Hepatitis C, Test Kits 30000

Msaidizi wa Mkurugenzi mtendajiwa (SD) Sawe Phillip ,akiwaonyesha waandishi wa habari  Hepatitis B na Hepatitis C,

0 comments: