WASHITAKIWA WA MAKOSA YA ALSHABABU WAKITOKA MAHAKAMANI KISUTU.

8108.washitakiwa Wanne wa Makosa ya Kujitangaza kua ni wanachama wa kikundi cha Ugaidi cha Alshababu. Ally othumani Rashidi,Shabani Bakari Waziri,Faraji Ally Ramadhani na Mussa Daudi Mtweve, Wakiwa chini ya ulinzi mkali wa Polisi leo Dar es Salaam  wakitoka nje ya Mahakama baada ya kusomewa mashitaka Mawili ,Likiwemo la Kujitangaza kua ni wanachama wa Kikundi cha Kigaidi cha Alshababu, Wakwanza ni Askari kanzu (PICHA NA KHAMISI MUSSA)

0 comments: