Mbunge wa jimbo la Temeke na Mwenyekiti wa Kampuni ya Bravo Job Centre Agency (LTD)Abbas Mtemvu, Akifafanua jambo Mbele ya waandishi na Wanao Safirishwa na Kampuni hiyo Mwishoni Mwa Wiki Dar es Salaam.
Baadhi ya wahudhuriaji wa tukio hilo
Mmoja wa Wasafiri hao Shamimu Mwarufai Akikabidhiwa Tiketi na Mbunge wa jimbo la Temeke na Mwenyekiti wa Bravo Job Centre Agncy (LTD)
Mmoja wa Wasafiri hao Fatuma Chambo Akikabidhiwa Tiketi na Mbunge wa jimbo la Temeke na Mwenyekiti wa Bravo Job Centre Agncy (LTD)
Dominica Akikabidhiwa Tiketi na Mbunge wa jimbo la Temeke na Mwenyekiti wa Bravo Job Centre Agncy (LTD) kwa niaba ya Tabu Khalfani
Lita Dominik Akikabidhiwa Tiketi na Mbunge wa jimbo la Temeke na Mwenyekiti wa Bravo Job Centre Agncy (LTD) kwa niaba ya Tabu Khalfani mwishoni mwa wiki Dar es Salaam.
Mbunge wa jimbo la Temeke na Mwenyekiti wa Bravo Job Centre Agncy (LTD) katika Picha ya Pamoja na wasafiri hao na ndugu na jamaa Pamoja na viongozi wa nao husika na Ofisi hiyo(PICHA NA KHAMISI MUSSA)
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments: