TASWIRA:MBUNGE WA BUMBULI-CCM NA NAIBU WAZIRI SAYANSI NA TEKNOLOJIA MH. JANUARY MAKAMBA AIPA SHAVU SKYLIGHT BAND

IMG_9256
Aneth Kushaba AK47 akifanya yake jukwaani.IMG_9361
 Blogger King Kif akishow love na Mbunge wa Bumbuli-CCM na Naibu Waziri Sayansi na Teknolojia Mh. January Makamba kwenye kiota cha Thai Village IMG_9388
 Baadhi ya vijana wakipata picha ya kumbukumbu na Role Model wao Mbunge wa Bumbuli-CCM na Naibu Waziri Sayansi na Teknolojia Mh.January Makamba ndani ya kiota cha Thai Village Masaki jijini Dar.
IMG_9231
Kikosi kazi cha Skylight Band kikitoa burudani Juma lililopita kwa mashabiki wa Skylight Band akiwemo Mh. January Makamba aliyetembelea kiota cha Thai Village ku-refresh mind na burudani ya Band hiyo.Pichani kutoka kushoto ni Mary Luco, Joniko Flower, Digna pamoja na Sony Masamba.
IMG_9245
Hebu cheki watasha walivyopagawa na burudani ya Skylight Band mpaka wakaamua kuchukua picha za kumbukumbu....Hapana Chezea Skylight Band.
IMG_9258
Aneth Kushaba AK47 akionyesha machojo yake kwa mashabiki.
IMG_9235
Mashabiki wa Skylight Band wakiserebuka taratibu kwa kujinafasi.
IMG_9241
Mary Lucos sambamba na Digna wakifanya yao jukwaani Ijumaa iliyopita Thai Village Masaki jijini Dar.
IMG_9266
Uzao wa BSS Mary Lucos akipagawisha mashabiki wa Skylight Band.
IMG_9253
Mashabiki wa Skylight Band wakionekana kupagawishwa na burudani waimbaji wa Skylight Band.
IMG_9277
Umati wa mashabiki wa Skylight Band ukisakata rhumba ndani ya kiota cha Thai Village.

0 comments: