Sallama Sasillo Akipatiwa Miwani na
Baadhi ya wananchi walio jitokeza kupima Afya ya Macho
katika siku ya Maadhimisho ya siku ya MachoDuniani viwanja vya Mnazi mmoja
Dakitari Bingwa wa macho wa Hospitali ya Taifa Muhimbili Baruani Sufiani
akimpima Jicho mgonjwa leo katika siku ya Maadhimisho ya siku ya MachoDuniani viwanja vya Mnazi mmoja
Dakitari Bingwa wa macho wa Chuo Kikuu cha Afya na Afya Shirikishi Muhimbili Anna Sanyiwa akimpima na kuangalia Mishipa ya Fahamu ya Jicho Samueli Tengeneza leo katika siku ya Maadhimisho ya siku ya MachoDuniani viwanja vya Mnazi mmoja(PICHA NA www.ujijirahaa.blogspot.com)
0 comments: