UJIJI RAHAA

  • Ujijirahaa-Kimataifa
  • Home
  • Ujijirahaa Matukio katika Picha

tamasha la serengeti fiesta kurindima kesho ndani ya viwanja vya leaders club.

Posted by khamisimussa77@gmail.com at 12:12 PM

Allan 1
Meneja Masoko wa kampuni ya bia ya Serengeti, Allan Chonjo akiwatambulisha baadhi ya wasanii watakaotoa burudani katika tamasha la Serengeti Fiesta 2013 kutoka nje ya Tanazania, kushoto ni Alaine Laughton kutoka Jamaica na Mohombi Nzasi Moupondo kutoka Sweden. Hafla hiyo ilifanyika katika hoteli ya Serena iliyopo katika jiji la Dar ES Salaam. tamasha la Serengeti Fiesta 2013 leo katika viwanja vya Leaders Club jijini Dar Es Salaam
Allan 3
Msanii Alaine Laughton (katikati) akiongea na wanahabari (hawapo pichani) wakati wa utambulisho wa wasanii wa kimataifa watakaotoa burudani katika tamasha la Serengeti Fiesta 2013 leo katika viwanja vya Leaders Club jijini Dar Es Salaam. Kushoto ni msanii kutoka Nigeria David Adeleke (Davido) na Kulia ni Meneja masoko wa kampuni ya bia ya Serengeti Allan Chonjo.
Allan 7
| 0 comments
Email ThisBlogThis!Share to XShare to Facebook

Share

  • Twitter
  • Facebook
  • Delicious
  • Email

0 comments:

Newer Post Home Older Post
Subscribe to: Post Comments (Atom)

Popular Posts

    JIMAMA LENYE MAKALIO MAKUBWA HIPS LAPAGAWISHA MAREKANI.

    JIMAMA LENYE MAKALIO MAKUBWA HIPS LAPAGAWISHA MAREKANI.

    Mwana mama Mikel Ruffinelli(39 Kutoka nchini Marekani akipunga upepo ufukwen

    DAWA YA MENO  SONSODYNE NI JIBU LAKO

    DAWA YA MENO SONSODYNE NI JIBU LAKO

     SENSODYNE Ni Dawa ambayo iliyothibitishwa kitaalamu kwaajili ya meno yenye ganzi (UKAKASI).au maumivu makali ya muda mfupi yatokanay...

    ANGALIA PICHA ZA AINA YAKE

    ANGALIA PICHA ZA AINA YAKE

    Uwezi kukuta Mbwa, Panya na Msituni manyani wote wanakuwa kitoweo. Awa ni popo wamesha aandaliwa tayari kwa kitoweo Ametole...

    WAKILI MAHAKAMA KUU YA TANZANIA KUFUNGUA KESI KWA NIABA YA WANANCHI KUHUSU TOZO DARAJA LA KIGAMBONI

    WAKILI MAHAKAMA KUU YA TANZANIA KUFUNGUA KESI KWA NIABA YA WANANCHI KUHUSU TOZO DARAJA LA KIGAMBONI

         Wakili wa Mahakama Kuu ya Tanzania, Mohamed Majaliwa WAKILI wa Mahakama Kuu ya Tanzania, Mohamed Majaliwa amesema kwa niaba ya wananchi...

    WANAFUNZI KUTOKA MAREKANI WAPATA UZOEFU HOSPITALI YA JK KIGAMBONI

    WANAFUNZI KUTOKA MAREKANI WAPATA UZOEFU HOSPITALI YA JK KIGAMBONI

         Dkt. Telesphory Kyaruzi akionyesha moja ya vifaa aliyopokea kutoka kwa Wamarekani waliofika katika Hospitali ya JK iliyopo Kigamboni Da...

    JKCI YAPOKEA MKONO MKUU WA UTUMISHI WA UMMA ARUSHA

    JKCI YAPOKEA MKONO MKUU WA UTUMISHI WA UMMA ARUSHA

       Waziri Ofisi ya Rais, Menenjiment ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora Mhe. Ridhiwani Kikwete akimkabidhi Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi y...

    WATENDAJI WA UCHAGUZI WAKUMBUSHWA KUSHIRIKIANA NA WANAHABARI

    WATENDAJI WA UCHAGUZI WAKUMBUSHWA KUSHIRIKIANA NA WANAHABARI

       Mjumbe wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi, Mhe.Magdalena Rwebangira amewakumbusha watendaji wa Uchaguzi ngazi ya Mkoa na Jimbo kushirikian...

    DCI MSTAAFU BALOZI ADADI RAJAB OCTOBA 29 TUJITOKEZENI KWA WINGI KUPIGA KURA

    DCI MSTAAFU BALOZI ADADI RAJAB OCTOBA 29 TUJITOKEZENI KWA WINGI KUPIGA KURA

      - Awataka watanzania kutoka kwa wingi kupiga kura kumchagua Dkt Samia Suluhu,Wabunge na Madiwani wanaotokana na CCM. Na Oscar Assenga,MUHE...

    RAIS WA TDA DK. BEREGE ASEMA UJIO WA RAIS WA FDI PROF. SHARKOV UMEWAONGEZEA CHACHU WANATAALUMA, AFYA YA KINYWA NA MENO

    RAIS WA TDA DK. BEREGE ASEMA UJIO WA RAIS WA FDI PROF. SHARKOV UMEWAONGEZEA CHACHU WANATAALUMA, AFYA YA KINYWA NA MENO

    Na Khamis Mussa, Muhimbili Rais wa Chama cha Madaktari wa Meno Tanzania (TDA) Dk. Gemma Berege, amesema ujio wa Rais wa Shirikisho la Madakt...

    RAIS SAMIA AWASILI DUBAI. UMOJA WA FALME ZA KIARABU (UAE)

    RAIS SAMIA AWASILI DUBAI. UMOJA WA FALME ZA KIARABU (UAE)

    Leo jioni nimewasili Dubai, Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE) ambapo nitaungana na viongozi wengine katika uzinduzi wa Global Africa Investmen...

About Me

khamisimussa77@gmail.com
View my complete profile

Total Pageviews

Powered by Blogger.

Blog Archive

Copyright © 2013 UJIJI RAHAA