SUMATRA yawataka wamiliki na madereva wa pikipiki na Bajaji kuzingatia sheria na kanuni za usafirishaji.

 Meneja Mawasiliano kutoka Mamlaka ya Udhibiti wa Usafiri Nchi Kavu na Majini (SUMATRA) Bw. David Mziray akitoa wito kwa wamiliki wa Pikipiki na madereva wa usafiri huo kushirikiana katika kuhakikisha wanatekeleza sheria na kanuni zilizowekwa na Mamlaka hiyo, wakati wa Mkutano uliofanyika ukumbi wa Idara ya Habari(MAELEZO) leo Jijini Dar es Salaam.
Picha na Hassan Silayo-MAELEZO
 Mkurugenzi Udhibiti wa Usafiri Barabarani kutoka Mamlaka ya Udhibiti wa Usafiri Nchi Kavu na Majini (SUMATRA) Gilliard Ngewe akieleza kwa waandishi wa Habari(hawapo pichani) juu ya Kanuni za Kudhibiti Usafiri wa Pikipiki na Bajaj, wakati wa Mkutano uliofanyika ukumbi wa Idara ya Habari(MAELEZO) leo Jijini Dar es Salaam.Kulia ni Afisa Habari wa Idara ya Habari Bi.Fatma Salum.
Mkurugenzi Udhibiti wa Usafiri Barabarani kutoka Mamlaka ya Udhibiti wa Usafiri Nchi Kavu na Majini (SUMATRA) Gilliard Ngewe akieleza kwa waandishi wa Habari(hawapo pichani) juu ya Kanuni za Kudhibiti Usafiri wa Pikipiki na Bajaj, wakati wa Mkutano uliofanyika ukumbi wa Idara ya Habari(MAELEZO) leo Jijini Dar es Salaam.Kulia ni Afisa Habari wa Idara ya Habari Bi.Fatma Sal

0 comments: