MAKAMU WA RAIS DKT. BILAL ASHIRIKI SWALA YA EID EL HAJ MSIKITI WA ANWAAR MSASANI
Posted by khamisimussa77@gmail.com at 1:09 AM
Makamu wa rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akizungumza na waumini
wa dini ya Kiislamu baada ya kushiriki nao katika Swala ya Sikukuu ya
Idd El Haj, iliyofanyika katika Msikiti wa Anwaar uliopo Msasani, jijini
Dar es Salaam leo. Picha zote na Ofisi ya Makamu wa Rais
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akijumuika na waumini
kushiriki Swala ya Sikukuu ya Idd El Haj na Waumini wa dini ya Kiislam
katika Msikiti wa Anwaar, uliopo Msasani jijini Dar es Salaam, leo
asubuhi.
Sehemu ya Waumini wa dini ya
Kiislamu waliohudhuria katika swala ya Sikukuu ya Idd El Haj na Mhe.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib
Bilal, leo asubuhi katika Msikiti wa Anwaar, uliopo Msasani jijini Dar
es Salaam.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akijumuika na waumini
kushiriki Swala ya Sikukuu ya Idd El Haj na Waumini wa dini ya Kiislam
katika Msikiti wa Anwaar, uliopo Msasani jijini Dar es Salaam, leo
asubuhi.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akiagana na Waziri wa
Elimu na Mafunzo ya Ufundi, Dkt. SHukuru Kawambwa, wakati akiondoka
katika Msikiti wa Anwaar, uliopo Msasani jijini Dar es Salaam, baada ya
kushiriki Swala ya Sikukuu ya Idd El Haj na waumini wa dini ya kiislam
leo.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano
wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akiagana na baadhi ya Waumini
wa Dini ya Kiislam, wakati akiondoka katika Msikiti wa Anwaar, uliopo
Msasani jijini Dar es Salaam, baada ya kushiriki Swala ya Sikukuu ya Idd
El Haj na waumini hao leo.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments: