MAKAMU WA RAIS DKT. BILAL AMJULIA HALI KAKA WA DKT. SALMIN AMOUR, ABUU AMOUR, ALIYELAZWA HOSPITALI YA MUHIMBILI

 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akizungumza na mgonjwa Kaka wa Rais Mstaafu wa Zanzibar, Salmin Amour, Abuu Amour Juma (73) aliyelazwa Hospitali ya Muhimbili wd 16, wakati alipomtembelea kumjulia hali jana hospitalini hapo.

 Akiagana na mke wa mgonjwa
 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal  Akimjulia hali Gidamaganga Gopa Sedoyeka Ambae ni Mchumi wa Halmashauri ya Kakonko Ambae nae kalazwa wod hiyo.(PICHA NA KHAMISI MUSSA,Mmiliki wa  www.ujijirahaa.blogspot.com)

0 comments: