MAHAFALI YA UNUNUZI WA TAALUMA YA MANUNUZI YA UGAVI.

 Wahitimu wa Shahada ya Manunuzi na Ugavi  Inayotolewa na Bodi ya Taifa ya Manunuzi na Ugavi (PSPTB) Wakiwa katika viti vyao wakimsubiri Mgeni Rasmi Goodirck Ole Medeye,ambae ni Naibu waziri wa Ardhi nyumba na maendeleo ya makazi(PICHA NA www.ujijirahaa.blogspot.com)
  Wahitimu wa Shahada ya Cheti cha  Msingi cha Manunuzi (PSPTB) Wakiwa katika viti vyao wakimsubiri Mgeni Rasmi Goodluck Ole Medeye,ambae ni Naibu waziri wa Ardhi nyumba na maendeleo ya makazi
Wahitimu wa Shahada ya Cheti cha  Msingi cha Manunuzi (PSPTB) Wakiwa katika viti vyao wakimsubiri Mgeni Rasmi Goodluck Ole Medeye,ambae ni Naibu waziri wa Ardhi nyumba na maendeleo ya makazi
Ndugu na jamaa wa wahitimu wakiwa katika nyuso za furaha kwa wapendwa wao wakiwa katika hatua hiyo.
Nifuraha kwetu kwa kuweka historia Tukiwa  katika vazi rasmi na kupata Picha ya pamoja
Kwetu leo ni Furaha kwa kuweka historia Tukiwa  katika vazi rasmi na kupata Picha ya pamoja
Ni furaha na twaendelea kumuomba Mungu Atupiganie  zaidi  ya Hapa
Wakiwa katika Maandamano kwa kumkaribisha Mgeni Rasmi
Viongozi Mbalimbali katika Maandamano na Mgeni rasmi (wapili kushoto) Goodirck Ole Medeye,ambae ni Naibu waziri wa Ardhi nyumba na maendeleo ya makazi
















0 comments: