KINANA AFUNGUA MKUTANO WA VYAMA VYA UKOMBOZI KUSINI MWA AFRIKA DAR LEO


 Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman  Kinana (wa tatu kulia)  akiwa katika picha ya pamoja na makatibu wakuu wa vyama vilivyoshiriki katika ukombozi Kusini mwa Afrika. Kutoka kushoto ni Katibu Mkuu wa ANC  cha Afrika Kusini, Gwede Mantashi,  Zanu PF cha Zimbabwe, Didy Mutasa, mwalikwa Naibu Waziri wa Chama cha Kikomunisti cha China (CPC), Idara ya Uhusiano wa Kimataifa, Ai Ping, Julio Paulo wa MPLA cha Angola na kutoka kulia ni Nangolo Mbumba wa 
Swapo cha Namibia, na Philipe Paunde wa Frelimo cha Msumbiji.
 Makatibu wakuu wa vyama hivyo wakiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya maofisa wengine
 Katibu Mkuu wa ANC  cha Afrika Kusini, Gwede Mantashi (wa pili kushoto) akijadiliana jambo na baadhi ya maifisa wa chama chake


 Katibu wa NEC , Siasa na Uhusiano wa Kimataifa, Asha Rose Migiro, akizungumza kabla ya kumkaribisha Katibu Mkuu wa CCM, Kinana kufungua mkutano huo
                       Katibu Mkuu wa ANC  cha Afrika Kusini, Gwede Mantashi
 Washiriki wakiwa katika mkutano huo
                                                    Baadhi ya washiriki wakiwa katika

 Kinana akielezea mbele ya wanahabari mambo mbalimbali yaliyojadiliwa kwenye mkutano huo zikiwemo changamoto mbalimbali zinazowakabili vijana katika nchini hizo ambazo ni Tanzania, Namibia, Msumbiji, Zimbabwe, Angola na Afrika Kusini.
 Katibu Mkuu wa Chama cha Zanu PF cha Zimbabwe, Didy Mutasa, akielezea jinsi chama chake
kilivyofanikiwa tena kutwaa madaraka katika uchaguzi mkuu uliopita.
 Katibu wa Nec wa Oganaizesheni, Seif Khatib na Katibu wa Nec Uchumi,Zakhia Maghji wakitoka wakati wa mapumziko ya muda.
 Kinana na Mantashi wakitoka kwenye ukumbi wa mkutano kwa mapumziko ya muda
Katibu Mkuu wa ANC cha Afrika Kusini, Mantashi akizungumza na waandishi wa habari kuhusu mambo muhimu yaliyozungumzwa kwenye mkutano huo ikiwemo nchi hizo kubadilisha uzoefu.
You might also like:

0 comments: