Enzi ya uhai wake
Watoto wa Maremu Nyaisangah, Samwel Nyaisangah na Beatrice Nyaisangah
Mke wa marehemu, Leah Nyaisanga (wa pili kulia) akiwa
katika picha ya pamoja na wanafamilia ya Nyaisanga.
Kutoka kulia ni mtoto wa marehemu, Beatrice Nyaisanga
na Samweli Nyaisangah
Mke wa marehemu, Leah Nyaisanga akiwa na watoto
wake Samweli Nyaisanga na Beatrice Nyaisanga.
Mke wa marehemu, Leah Nyaisanga akiwa na watoto
wake Samweli Nyaisanga na Beatrice Nyaisanga.katika picha na wanafamilia
Mke wa marehemu, Leah Nyaisanga akiwa na watoto
wake Samweli Nyaisanga na Beatrice Nyaisanga.katika picha na wanafamilia
Waombolezaji
Regina Mwalekwa akisoma neno la Mungu
Makamu wa Rais, Mohamed Gharib Bilal akipeana
mkono na Mwenyekiti wa Jukwaa la Wahariri, Absalom
Kibanda.
Makamu wa Rais akiweka sahihi katika kitabu cha
maombolezo.
Mwenyekiti wa Jukwaa la Wahariri (TEF), Absalom
Kibanda akizunguka
Mwenyekiti wa Wamiliki wa Vyombo vya Habari
(MOAT), Reginald Mengi akizungumza wakati wa ibada ya
kuaga mwili wa marehemu.
Kiongozi wa Kambi ya Upinzani Bungeni, Freeman
Mbowe akitoa salamu za rambirambi
Makamu wa Rais akitoa salamu za rambirambi
Mjane wa marehemu, Leah Nyaisanga akitoa heshima
za mwisho.
Makamu wa Rais, Mohamed Gharib Bilal akitoa
heshima za mwisho.
Makamu wa Rais, Mohamed Gharib Bilal Akimpa mkono Mke wa marehemu, Leah Nyaisanga
Makamu wa Rais, Mohamed Gharib Bilal Akimpa mkono wa pole mtoto wa marehemu Beatrice Nyaisanga.
Makamu wa Rais, Mohamed Gharib Bilal Akimpa mkono wa pole kaka wa Ukoo wa familia ya marehemu Nayaisangah Kanal mstaafu wa jeshi Andrew Masiaga Chacha
Mwenyekiti wa Wamiliki wa Vyombo vya Habari
(MOAT), Reginald Mengi akizungumza na DC wa Bahi Betty Mwasa (kulia) na wakatikati ni mwanahabari mkongwe Abubakari Liongo
Mwanahabari Mkongwe Pascal Mayalla akifanya mahojiano na Kiongozi wa Kambi ya Upinzani Bungeni, Freeman Mbowe alipo fika kuuaga mwili wa marehemu Nyaisangah katika kiwanja cha Leaders Club
wakongwe Wakihabarishana mambo mbalimbali katika kiwanja cha Leaders Club baada ya kuuaga mwili wa mwanahabari mwenzao Nayaisangah
PICHA NA KHAMISI MUSSA Mmiliki wa Blog ya ( www.ujijirahaa.blogspot.com )
0 comments: