WAZIRI WA MAJI PROF.JUMANNE MAGHEMBE (MB) MGENI RASMI KITAIFA SWALA YA IDD EL HAJ




Mgeni rasmi katika Swala ya ya Eid El Haj, Waziri wa Maji,
Jumanne Maghembe (MB),(wanne kushoto) akiwa na
viongozi wengine wa Msikiti, Dini ya Kiislamu, na serikali
katika  Swala kuu ya Eid El Haj katika Msikiti wa Al-Farouk
(BAKWATA) Kinondoni jijini Dar es Salaam msikitini hapo
leo asubuhi.




Waumini wa Dini ya kiislam wakiwa wamemaliza kuswali Swala ya Sikukuu ya Idd El Haj  Kitaifa   katika Msikiti wa Alfaruku, Kinondoni Dar es Salaam jana,(kulia wanne )Mkurugenzi wa Bendi ya African Stars(Twanga Pepeta)Asha Baraka

1 comment: