MWAIFANI MAKIFUNGUA SEMINA YA USMBAZAJI DAWA KATIKA HOSPITALI ZA KANDA YA MBEA.

Mwaifwani (kulia), akifungua semina ya usambazaji dawa katika hospitali za Kanda ya Mbeya. Kushoto ni Meneja wa Huduma kwa Wateja na Mahusiano wa Bohari Kuu ya Dawa (MSD), Salome Mallamia na Kaimu Mkurugenzi, Shughuli za MSD Kanda ya Kusini, Edward Terry. Semina hiyo ilifanyika juzi jijini Mbeya.  (PICHA NA DOTTO MWAIBALE)

Baadhi ya wakazi wa Ukonga Mazizini, Dar es Salaam wakifukia gogo katika njia, kuzuia magari yaliyokuwa yanapita baada ya barabara kubwa ya Mombasa hadi Moshi Bar kutopitika kutokana na mashimo makubwa yaliopo katika barabara hiyo. Tukio hilo lilitokea juzi katika eneo hilo. (PICHA NA RAPHAEL GWASSA)

Askari wa Kikosi cha Usalama barabarani akiangalia Lori la mizigo namba T 579 BMM lililobondeka mbele baada ya kugonga nyuma ya Lori la kusafirisha mafuta lenye namba za usajiri T 998 BLR (picha ndogo), katika ajali iliyotokea mwishoni mwa wiki katika Barabara ya Kuu ya Morogoro-Iringa, Kijiji cha Samayu. Utingo wa gari la mizigo inadaiwa alikufa papo hapo na dereva kujeruhiwa. (PICHA NA RICHARD MWAIKENDA)

0 comments: