Waziri wa sheria na katiba Mh. Mathias Chikawe .
SERIKALI imetakiwa kujenga utawala bora katika kusimamia rasilimali kama
vile madini,mafuta na gesi asilia kwa lengo la kuwanufaisha wananchi.
Akizungumza na wandishi wa habari katika uzinduzi wa ripoti ya
utafiti matumizi ya rasilimali hizo, Mjumbe Jumuiya ya Taasisi ya
‘Rvenue Watch’ Silas Olan’g, alisema utafiti huo ulifanyika katika nchi
58 duniani.
Alisema imebainika kuwa bado kuna changamoto mbalimbali katika
kusimamia rasilimali hizo, serikali kutokuwa wazi kwa wananchi kuhusu
matumizi ya rasimali hizo.
Olonga
BADO CHANGAMOTO ZIPO JUU YA USIMAMIZI WA RASIRIMALI ZA TAIFA
Posted by khamisimussa77@gmail.com at 7:05 AM
Waziri wa sheria na katiba Mh. Mathias Chikawe .
SERIKALI imetakiwa kujenga utawala bora katika kusimamia rasilimali kama
vile madini,mafuta na gesi asilia kwa lengo la kuwanufaisha wananchi.
Akizungumza na wandishi wa habari katika uzinduzi wa ripoti ya
utafiti matumizi ya rasilimali hizo, Mjumbe Jumuiya ya Taasisi ya
‘Rvenue Watch’ Silas Olan’g, alisema utafiti huo ulifanyika katika nchi
58 duniani.
Alisema imebainika kuwa bado kuna changamoto mbalimbali katika
kusimamia rasilimali hizo, serikali kutokuwa wazi kwa wananchi kuhusu
matumizi ya rasimali hizo.
Olonga
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments: