WARIPOTINI WANAOWADAI RUSHWA ILI KUPATA HUDUMA DK. AISHA MAHITA


 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 

 
Mganga Mkuu wa Manispaa ya Ilala, Dk. Aisha Mahita, amewataka wananchi kuacha kulalamika pembeni pindi wanapofika katika hospitali za wilaya hiyo, baadala yake wawaripoti wale wote wanaowadai rushwa kwa ajili ya kuwapatia huduma. Kauli hiyo imekuja siku chache baada wananchi hao kulalamikia huduma zisizoridhisha katika hospitali ya Mnanzimoja, jijini Dar es Salaam, hususan vitengo vya ultrasound, ex-ray ya macho na meno siku za Jumamosi na Jumapili, hadi walipe fedha Akizungumza...

0 comments: