MAULID YA MTUME MUHAMMAD (S.A.W)YAFANYIKA KATIKA VIWANJA VYA MAISARA


IM 6380 
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi
Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein,akisalimiana na Jaji Mkuu wa 
Zanzibar Omar
Othman Makungu, alipowasili katika viwanja vya Maisara
 katika sherehe
za Maulid ya kuzaliwa Bwana Mtume Muhamad (S.A.W) 
yaliyofanyika jana,
na Rais Mstaafu wa Zanzibar Dk.Amani Abeid Karume,(katikati).
[Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.]

0 comments: