Mawaziri Dk Terezya Huvisa, Suluhu Hassan African watembelea miradi ya Wildlife Foundation (AWF), mkoani Arusha

 


Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano Samia Suluhu Hassan na Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Mazingira Dk Terezya Huvisa Wakiwa katika Picha ya Pamoja na Wanafunzi wa Shule ya Msingi ya Manyara Ranch wakati wa Kukagua Miradi Inayowezeshwa na asasi isiyo ya kiserekali [NGO] ya African Wildlife Foundation (AWF) kwa ufadhili wa Serikali ya Marekani kupitia shirika lake la maendeleo (USAID) Wilaya ya Munduli Mkoa wa Arusha
Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu Wa Rais Muungano Samia Suluhu Hassani na Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Mazingira Dk.Terezya Huvisa Wakimuangalia Mwanafunzi wa Shule ya Msingi ya Manyara Ranch Rahely Francisi wa darasa la tano akifungua Komyuta na Kupata Maelezo ya Masomo yao.

Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu Wa Rais Muungano Samia Suluhu Hassan na Waziri wa Nchi Ofisi ya Mkamu wa Rais Mazingira Dk Terezya Huvisa Wakiangalia Mkaa uliotengenezwa kwa Mabaki ya Mbao (wood biomas residues) Walipotembelea jiko la Shule ya Msingi ya Manyara Ranch Waliya ya Munduli Mkoa wa Arusha.
Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Muugano Samia Suluhu Hassan akiwasikiliza wanafunzi wa darasa la pili wa Shule ya Msingi ya Manyara Ranch wakati alipowatembelea katika Ziara ya Kukagua Miradi Inayawazeshwa na Asasi isiyo ya Kiserekali {NGO]y a African Wildlife Foundation (AWF) kwa Ufadhili wa Serikali ya Marekani kupitia shirika lake la Maendeleo

0 comments: