KATIBU MKUU CCM AONGOZA KIKAO CHA SEKRETARIETI KISIWANDUI, ZANZIBAR

   Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dkt. Asha-Rose Migiro, akiongoza Kikao cha Sekretarieti ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa kilichofanyika katika Afisi Kuu ya CCM, Kisiwandui, Zanzibar, leo Jumanne, tarehe 28 Julai 2026

0 comments: