WAZIRI WA VIWANDA NA BIASHARA MGENI RASMI MKUTANO MKUU WA JUMUIYA YA WAFANYA BIASHARA KARIAKOO 2026


 

 
Mbunge wa Jimbo la Ilala Mussa Azzan Zungu na Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania akizungumza wakati wa Mkutano Mkuu 2026 wa Jumuiya ya Wafanya Biashara Kariakoo leo Aprili 25,2026 na kuwapongeza wafanya biashara kwa ulipaji mzuri wa kodi  

Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wafanya Biashara Kariakoo (JWK) Severini Mushi akimkabidi Tuzo Waziri wa Viwada na Biashara Judith Kapinga leo Aprili 25,2026. Wakati wa Mkutano Mkuu wa Jumuiya ya 2026 uliofanyika Jijini Dar es Salaam.




 

Mmoja wa Wafanya Biashara akipitia jarida lenye ratiba nzima ya maadalizi ya hafla hiyo kabla ya kuwasili Waziri wa Viwada na Biashara Judith Kapinga  wakati wa Mkutano Mkuu 2026 wa Jumuiya ya Wafanya Biashara Kariakoo leo Aprili 25,2026.
 

0 comments: