Ushiriki wa Tanzania katika majukwaa haya ni kielelezo cha uthabiti wake kisiasa, na dhamira yake ya kuendelea kuvutia uwekezaji toka ndani na nje ya nchi, utakaozalisha ajira zaidi na kuchagiza maendeleo yetu. Aidha, ni utekelezaji wa Dira 2050 pamoja Sera mpya ya Mambo ya Nje katika Diplomasia ya Uchumi. NA IKULU. @Khamisi Mussa.
RAIS SAMIA AWASILI DUBAI. UMOJA WA FALME ZA KIARABU (UAE)
Posted by khamisimussa77@gmail.com at 2:32 PM
Subscribe to:
Post Comments (Atom)



0 comments: