Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akikagua  eneo la kukaangia samaki kwenye soko la samaki Feri la jijini Dar es salaam Machi 22, 2016, Kushoto kwake ni Mkuu wa Wilaya ya Ilala,  Raymond Mushi. Waziri Mkuu alipata fursa ya kuzungumza na wakaanga samaki, wapaa samaki, mama ntilie na wadau wengine wa soko hilo la kimataifa hapa nchini.  (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
 Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Mama Lishe wakati alipotembelea  soko la samaki la Feri jijini Dar es salaam Machi 22, 2016
 Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Mama Lishe wakati alipotembelea  soko la samaki la Feri jijini Dar es salaam Machi 22, 2016
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akielkea kwenye soko la samaki la Feri  akitokea ofisini kwake  Magogoni  jijini Dar es salaam kukagua hali ya soko hilo Machi 22, 2016. Kushoto kwake  ni Mkuu wa Wilaya ya Ilala, Raymond Mushi. Waziri Mkuu alipata fursa ya kuzungumza na wakaanga samaki, wapaa samaki, mama ntilie na wadau wengine wa soko hilo la kimataifa hapa nchini.  (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

0 comments: