Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Mawakala wa Forodha na Bandari kwenye ukumbi wa Karimjee jijini Dar es salaam Machi 21, 2016. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
 Waziri Mkuu Majaliwa akipekua faili lake wakati akizungumza na mawakala hao, katikati ni mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda na viongozi wa Mawakala hao

0 comments: