Mkuu wa Tume ya Uchaguzi Zanzibar, Jecha Salim Jecha
Wanasheria mbalimbali visiwani Zanzibar wamepinga matamshi ya
hivi karibuni ya Jecha Salim Jecha, Mkuu wa Tume ya Uchaguzi visiwani
humo ZEC aliyezungumzia hatua walizofikia katika zoezi linalolalamikiwa
na wengi la kurejea uchaguzi visiwani humo.
Mwandishi wetu Hassan Issa ametuandlia ripoti ifuatayo:
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments: