HARMONIZE KATIKA KUADHIMISHA SIKU YA KULINDA MAZINGIRA DAR ES SALAAM

March 19 msanii kutoka label ya wasafi (WCB), Harmonize aliungana na WWF kuadhimisha siku ya kulinda mazingira katika kijiji cha Buyuni wilaya ya Temeke Dar es Salaam.
Msanii huyo kabla ya kutumbuiza alizindua mradi wa maji pamoja na nishati ya Umeme (Solar power) katika kijiji hicho husika
.
.
.
.Picha
.
.
.
.Msanii Harmonize akitumbuiza jukwaani
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
3X6A9970
.
.
.

0 comments: