WAKATI WABUNGE WENGINE WAKIZOMEWA MAJIMBONI MWAO MBUNGE MOROGORO AWA GUMZO JIMBONI KWAKE

 Mbunge wa Jimbo la Morogror Mjini Mh Aziz Abood akiwa jukwani Pamoja na Mashabiki katika Uwanja wa Jamuhuri Mkoani Morogoro Kushuhudia Mechi ya Kirafiki kati ya Mbeya City na Mtibwa Sugar.Wakazi wa Jimbo hili wamekuwa wakimuunga Mkono Mbunge Huyu katika Harakati zake za Kurudi Bungeni.
    
Mama Mmoja kutoka jimbo la Morogoro Mjini akimchangia Mbunge wa Jimbo la Morogoro Mjini katika harakati zake za Kuomba Uteuzi wa Kupeperusha Bendera ya CCM Jimbo la Morogoro Mjini Katika Uchaguzi Mkuu wa Rais ,Wabunge na Madiwani Utakaofanyika Mwezi October Mwaka Huu
Wakina Mama hawa nao hawakuwa NyumA Kumchangia Mbunge Huyo 
Aziz Abood Akipiga Mpira wakati alipokuwa Mgeni Rasmi kwenye Mechi ya Kirafiki kati ya Mtibwa Sugar na Mbeya City

0 comments: