WANANCHI VIJIBWENI KIGAMBONI WAKIWA KATIKA FOLENI KUJIANDIKISHA DAFTARI LA WA MPIGAKURA
Posted by khamisimussa77@gmail.com at 10:59 PM
Wananchi wakiwa wamejipanga foleni katika kituo cha Mtaa wa Mkwajuni kilichopo Kigamboni Temeke, wakisubiri kujiandikisha kwenye daftari la kudumu la mpiga kura Dar es Salaam leo asubuhi.(PICHA NA KHAMISI MUSSA)
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments: