Posted by
khamisimussa77@gmail.com
at
12:39 PM
Wafuasi wa Katibu wa Jumuiya na Taasisi za Kiislamu Tanzania, Sheikh
Ponda Issa Ponda wakiwa nje ya Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salaam leo
huku wakipaza sauti baada Sheikh Ponda kushinda rufaa
ya kupinga hukumu ilitolewa na Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu ya
kuvamia na kujimilikisha kwa nguvu kiwanja cha Markaz Chang’ombe jijini
Dar es Salaam. Hukumu hiyo ilitolewa na Mahakama ya Hakimu Mkazi
Kisutu, mbele ya Hakimu Mkazi Victoria Nongwa, Mei 9, 2013. (Picha na
Francis Dande)
Wafuasi wa Sheikh Ponda Issa wakitoka Mahakamani.
Katibu
wa Jumuiya na Taasisi za Kiislamu Tanzania, Sheikh Ponda Issa Ponda (wa
pili kushoto) akitoka katika chumba cha Mahakama Kuu Kanda ya Dar es
Salaam kushinda rufaa ya
kupinga hukumu iliyotolewa na Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu ya kuvamia
na kujimilikisha kwa nguvu kiwanja cha Markaz Chang’ombe jijini Dar es
Salaam.
Katibu
wa Jumuiya na Taasisi za Kiislamu Tanzania, Sheikh Ponda Issa Ponda
akiwa chini ya ulinzi wa askari wa Magereza wakati akitoka Mahakama Kuu
Kanda ya Dar es Salaam.
Katibu
wa Jumuiya na Taasisi za Kiislamu Tanzania, Sheikh Ponda Issa Ponda
akitoka katika Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salaam baada ya kushinda
rufaa ya kupinga hukumu iliyotolewa na Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu
ya kuvamia na kujimilikisha kwa nguvu kiwanja cha Markaz Chang’ombe
jijini Dar es Salaam.
Wafuasi
wa Katibu wa Jumuiya na Taasisi za Kiislamu Tanzania, Sheikh Ponda Issa
Ponda wakiwa nje ya Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salaam huku wakipaza
sauti baada ya kushinda kesi iliyokuwa ikimakabili.
Wafuasi
wa Katibu wa Jumuiya na Taasisi za Kiislamu Tanzania, Sheikh Ponda Issa
Ponda wakiwa nje ya Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salaam huku wakipaza
sauti baada ya Sheikh Ponda kushinda kesi iliyokuwa ikimakabili.
Wafuasi wa Katibu wa Jumuiya na Taasisi za Kiislamu Tanzania, Sheikh
Ponda Issa Ponda wakiwa nje ya Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salaam huku
wakipaza sauti baada ya Sheikh Ponda kushinda kesi iliyokuwa
ikimakabili.
Wafuasi
wa Katibu wa Jumuiya na Taasisi za Kiislamu Tanzania, Sheikh Ponda Issa
Ponda wakiwa nje ya Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salaam huku wakipaza
sauti baada ya Sheikh Ponda kushinda kesi iliyokuwa ikimkabili.
Mfuasi wa Sheikha Ponda akitoka Mahakamani.
Ulinzi ukiwa umeimarishwa nje ya Mahakama Kuu Dar es Salaam wakati wa kesi ya Ponda.
Wafuasi wa Sheikh Ponda Issa wakiwa wamelizunguka basi la Magereza
alilokuwa amepanda Sheikh Ponda wakati akielekea mahabusu ya gereza la
Keko.
Wafuasi wa Sheikh Ponda Issa wakilifukuza basi la Magereza alilokuwa
amepanda Sheikh Ponda wakati akielekea mahabusu ya gereza la Keko.
Wafuasi wa Sheikh Ponda Issa wakitoka Mahakamani.
Gari la Polisi.
Wafuasi
wa Katibu wa Jumuiya na Taasisi za Kiislamu Tanzania, Sheikh Ponda Issa
Ponda wakiwa nje ya Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salaam huku wakipaza
sauti.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments: